Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
Wee mwenyewe ulishamfumania andjul mara nyingi lakini unajikausha tuHawataki kuambiwa ukweli
nsamakaWe waache tu, mi nawaambia wanajidai hawaelewi somo
Welikamu baki
Unajua andjul na hawa ni vitu viwili tofauti kwsbb andjul anatenda ila wao wanatendewa.Wee mwenyewe ulishamfumania andjul mara nyingi lakini unajikausha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili nikusapoti kwanza uje na talaka yako kwa andjulHawataki kuambiwa ukweli
Bob karibu sana. Hawa wahenga wameanza kuzingua kwa vile na wake zao waliomba ile nafasinsamaka
Hahahah mh sasa ww huko unakoelekea siko kbs. Talaka tena?