Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Wewe chapa kazi[emoji41]Bob karibu sana. Hawa wahenga wameanza kuzingua kwa vile na wake zao waliomba ile nafasi
Usiangalie usoni
Nitakupa [emoji379]
Wewe chapa kazi[emoji41]Bob karibu sana. Hawa wahenga wameanza kuzingua kwa vile na wake zao waliomba ile nafasi
Hata mi nashangaa kwakweli, watu wamejaa maneno mengi vitendo hatuvioni!!! Tunausubiri kwa hamu kubwa huo mtanange[emoji3] [emoji3]Hivi korea kaskazini na marekani wanachelewa sana kupigana
Aisee nipe hiyo kitendea kazi maana kuna watu humu wanajidai kuwatetea wake zao na wakati wametuma maombi. Wasubiri jioni kujionea shortlist itakavyokuwa.Wewe chapa kazi[emoji41]
Usiangalie usoni
Nitakupa [emoji379]
Hahahaha[emoji3] [emoji3] unanikumbusha utotoni, daaa. Unatisha mkuuWananipotezea muda wangu bure kuwafuatilia halafu hawapigani