moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Cheka saana, hivi mzee wa liver una undugu na joti?Apate mapema maana arsenal ni janga
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Cheka saana, hivi mzee wa liver una undugu na joti?Apate mapema maana arsenal ni janga
Sawa sawa, safi sana.Pambana pambana
Niko nyuma yako[emoji41]
Subiri nichukue kalamu niandike vijiji vya wakwe zanguSangamwalugesha, sangabuye, mwakilyambiti, mwamakoye,malampka,ngudu,nindo, busanda, kakola.
Mwanamke jasiri sana wewe[emoji41]Aisee nipe hiyo kitendea kazi maana kuna watu humu wanajidai kuwatetea wake zao na wakati wametuma maombi. Wasubiri jioni kujionea shortlist itakavyokuwa.
Hahahah ushaanza maandalizi ya kukamatia fursa eeeh?
Utakuwa umenisaidia sana.Mwanamke jasiri sana wewe[emoji41]
Subiri nikuandalie mguu wa bata[emoji379] hapa