mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
YapKwani kila aliyeopo kiu yake ni.likes
DuHahahah mh sasa ww huko unakoelekea siko kbs. Talaka tena?
Hahahahaha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hahaha, wee mwanamke ni shida[emoji3] [emoji3]Ubaki singo maana hakufai hahaha
Bob12 amekulipa hela nyingi eeeehNafasi itakuwa wazi tutatoa tangazo jingine la kwako
Kawimbo kazuri sana
Nduhu ni kitu gani hicho nsamakaKaribu sana kwenye mkoa uliojaa watu wakarimu, wapole na wacheshi km mm. Huku kila kitu mi nduhu taabu yaan hakuna shida.
Hatuna makuu watu wa huku, undugu ndio hazina yetu, popote ifikapo basi ni km umefika nyumbani
HahahahahaMzee wa tukuyu akija hapa shauri yako.
12Kumi na mbili
33Thelathini na tatu
Naona vitaMapenzi yangu kwako yapo wazi hata andjul anajua hilo. Sina cha kuficha, maana nakupenda
Sent using Jamii Forums mobile app
IIITatu
Former IS RA EL PMAriel Sharon
17Kumi na saba