moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mkuu sisi hatufugi ng'ombe , lakini hata kuku nitalipa maana ndiyo tulionaoMtu wa pwani ng'ombe awatoe wapi? Hata maparachichi na shanga tutachukua tu !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sisi hatufugi ng'ombe , lakini hata kuku nitalipa maana ndiyo tulionaoMtu wa pwani ng'ombe awatoe wapi? Hata maparachichi na shanga tutachukua tu !!!
MaharageUgali
Sasa hilo ni tatizo la nani?
Mungu Hachezewi !!!
Jack sparrow
Ila sehemu nyingine ndo linawatokea [emoji6] [emoji6] [emoji6]Jua limetuaga...
MCHAWI MANYOYA, JE wajua kifo chake kimesababishwa na nini?, je alizikwa kwa kufuata imani ya dini gani? je wajua kuwa mchawi Manyoya maiti yake limefukuliwa na kutupwa mtoni iliwe na mamba? FUATILIA KISA HIKI MPAKA MWISHO