mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji41] [emoji6]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji41] [emoji6]
Kaka heshima yako aiseeeDon't panic bro [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo letu Wabongo hata hatujui tunachotaka.
Mkuu siku chache hizi umekuwa mtu wa kuchungulia na kuongoka tu, unajua tunaanza kukusahau!!
Yani tumekuwa walalamishi vibaya mno. Daaa hadi inachosha. mtu kwa uvivu wake akikosa mlo wa mchana analalamika, mbunge analalmika, waziri alalamika. Kila mmoja ni malalmiko tu!!
Tatizo letu Wabongo hata hatujui tunachotaka.
Kazi yetu kulalamika tu....