Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3843.JPG
 
6. KUTOKA UHADHIRI HADI MWANAHARAKATI
Baada ya miaka mingi ya ualimu, Mabala aliamua kujikita kwenye harakati za Asasi za Kiraia (AZAKI). Yeye ni miongoni mwa wanachama waanzilishi wa AZAKI maarufu kama Haki Elimu na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na mwishowe kwa kushirikiana na vijana, akaanzisha asasi ya TAMASHA yenye makao makuu jijini Arusha.
Mabala anasema “Nillifundisha Milambo, Mzumbe, Chang’ombe TTC, Marangu TTC, Kibosho Girls na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kisha nikatambua kwamba mimi ni mwanaharakati kuliko mwanataaluma (mhadhiri) ndiyo maana nikaingia AZAKI kwa lengo la kuwawezesha vijana. Nimeanzisha TAMASHA (Taasisi ya Maendeleo Shirikishi) tukihimiza vijana wapate nafasi yao katika jamii”
 
Ukweli ni kuwa wengi wetu tunapenda simu zetu, pengine hii ni sababu ya simu hizi kutupa uwezo wa kufanya mambo kwa urahisi na haraka sana lakini kila jambo likizidi basi kwa namna moja ama nyingine lina weza kuwa sumu kwenye maisha yetu ya kila siku. Hivyo basi kaa tayari kujua kama wewe una tatizo au (ugonjwa) wa kupanda simu kupita kiasi.
 
Kwanza napenda niseme kuwa kupenda simu yako kupita kiasi ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine ya tabia ya kupenda vitu kupita kiasi yaani (addiction), magonjwa haya hu-tibiwa kwa kupewa mazoezi ya kila siku ya ubongo ili kuweza kuacha tabia hiz
 
Kwa mujibu wa tovuti ya addiction tips kama huto tibu ugonjwa wa kupenda simu kupita kiasi unaweza kupata matatizo mbalimbali ya afya kama vile, matatizo ya ubongo pamoja na kansa hivyo ni vyema kuanza kuacha tabia hii kama utajigundua unazo dalili zifuatazo.
 
Unashika Simu Yako Mkononi Muda Mwingi
Mara nyingi watu wenye tatizo la kupenda simu kupita kiasi hawawezi kukaa mbali na simu zao, mara nyingi hushika simu zao mkononi au kuziweka karibu nao au wakati mwingine utawakuta wanatumia programu tofauti kwenye simu au kuchati. Mara nyingi watu hawa hawawezi kukaa mbali na simu zao na ikitokea wako mbali na simu zao hushtuka na kuwa na hisia simu imepotea.
 
Lazima Uwe na Simu Yako Kila Siku
Inaeleweka kuwa na simu yako kila siku ni kitu cha muhimu tena ukizingatia kwenye ulimwengu wa sasa, lakini kama unajikuta kwenye wakati kuwa umesahau simu yako au umepoteza basi unakosa raha kabisa hata kama ulikua unauwezo wa kubadili line na kuendelea na mawasiliano basi jua kabisa inawezekana una tatizo la kupenda simu kupita kiasi.
 
Unakuwa na Wasiwasi wa Kupoteza au Kuibiwa Simu
Kuwa na wasi wasi wa kuibiwa au kupoteza kitu huwa ndani yetu sote lakini ni tatizo pale mtu anapokua ana wasiwasi kupita kiasi, hivyo kama umekua natabia hii kwa muda mrefu sasa ni vyema kuanza kujifunza kuacha kwani inawezekana una tatizo la kupenda simu kupita kiasi.
 
Unaingia na Simu Yako Chooni
Kama unayo tabia ya kwenda na simu yako kila mahali mpaka chooni basi ukweli ni kwamba lazima utakuwa na tatizo la kupenda simu kupita kiasi. Vilevile zaidi ya hayo unaweza kupata matatizo mengine ya kiafya kwa kwenda na simu chooni.
 
Unatumia Mitandao ya Kijamii Masaa 24
Mitandao ya kijamii ime tengenezwa ili kufurahia na kuunganisha watu lakini kuna wakati mwingine unakuta mtu yupo kwenye mitandao hiyo masaa yote na hapati hata muda wa kufanya mambo mengine na kama atakuwa anafanya mambo mengine lazima atakuwa na uwezo wa kuchati kupitia mitandao hiyo, kama unayo hii tabia kuwa muangalifu inawezeka una tatizo la kupenda mitandao ya kijamii kupita kiasi tatizo ambalo hupelekea kupenda simu kupita kiasi
 
Back
Top Bottom