Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Poa mkuuNjema vipi wewe
Poa mkuuNjema vipi wewe
Good afternoon mzee wa nambaGood afternoon
YapBila zengwe
[emoji35] [emoji35] [emoji35]Tupo wa gunners
So sadHaya mkuu. Ndiyo maana sisi Waafrika hatuendelei. Mtu una maarifa lakini hutaki kushea na wengine. Una njia rahisi ya kufundishia calculus mtoto akaelewa kwa dakika tano lakini umekaa nayo tu unaongea kwa mafumbo. Ingekuwa mzungu angekuwa keshaandika kijitabu tayari, akapata vihela vyake na watu wakafaidika. Tuna maarifa mengi tena ya kila aina lakini kila mtu amekakawana nayo anachagua mjukuu mmoja anamrithisha au mambo yakibumburuka ghafla anaondoka na maarifa yake. Sad !!!