Enjoy MkuuJumatatu inaendeleaje wanalikers? Huku leo ni Sikukuu ya Mashujaa hakuna kazi. Ni siku ya kuchoma kitimoto, kunywa, kutembelea makaburi ya mashujaa wa kivita na kusikiliza hotuba na simulizi za mapigano. Najaribu kumtafuta andaeitiini nione kinachoendelea. Nitaleta mrejesho. Yote kwa yote tumshukuru Mungu wetu. Nawapenda !!!
Na mshikamanoumoja
Kwa dunia ipiuhuru haki na usawa
Yaputulivu uwepo