Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

474a70ce63c4f22ebff699cbbc8d03a0.jpg
Hahahahaha
 
10: Mke si wa kulaumiwa kwa mumewe kuwa na mchepuko. Zingatia mfano ufuatao: kama mumeo ana mchepuko, hili si kosa lako, haijalishi watu watakwambia nini. Mwanaume anapochepuka ujue ameamua mwenyewe kufanya hivyo. Mawazo kwamba ameshawishika au ameteleza na kujikuta amefanya mapenzi na mchepuko si kweli kabisa.
 
1.Watu weusi wananywele LAKI MOJA NA KUMI (110,000), USIHESABU WENYE VIPARA.

2. Moyo wako unasukuma damu kiasi cha galoni 2,000 kwa siku.

3.Kama ungekuwa na uwezo wa kukusanya MATE basi kama utaishi kwa miak 75 utaweza kukusanya mate kiasi cha kuweza kujaza mabwawa ya kuogelea mawili.

4.wanaume 60 kati ya 100 wenye umri wa miaka 60 na zaidi wanakoroma wakilala ukilinganisha na wanawake 40 kati ya 1000 wa umri huo (miaka 60) ambao wanakoroma.
 
1. Mtu mzima anapumua mara 23,000 kwa siku.
2. Kazi kubwa ya kupumua sio kupata oxygen, bali kuondoa kabon dayoksaidi.
3. Kupumua kwa kutumia mdomo ni hatari kwa afya yako.
4. Unavyopumua kwa kasi ndivyo inavyozidisha njaa na acid kwenye mwili wako.
 
Back
Top Bottom