Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MAAJABU KUMI YA SOKA USIYOYAJUA
1.Mwanasoka mkongwe wa brazil pele, alijipatia jina hilo la utani lenye maana katika lugha ya kibrazil na kireno “ miguu sita” (six feet),kutokana na kuwa na vidole sita katika kila mguu.
 
2.Mwana soka anakimbia kilomita zipatazo kumi (10) katika mchezo mmoja.

3.Mwanasoka wa kibrazil, Ronaldinho ndio mfungaji anayekumbukwa zaidi kwa kufunga mabao mengi duniani, alifunga mabao 23 akiwa na umri wa miaka 13 tu.
 
Yesterday, a girl went to consult a prophet who told her to take good care of her boyfriend cause he soon will be a billionaire.
*She can't stop crying since yesterday because she can't tell which boyfriend it is.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
6.Washabiki wa soka nchini Columbia waingia na jeneza uwanjani la mshabiki mwenzao aliyeuawa kwa kupigwa risasi siku ya kuwania kuingia fainali akiwa na umri wa miaka17. Washabiki hao waliingia nae siku ya fainali.
 
7.Mnamo mwaka 1966 kombe la dunia liliibiwa na baadae mbwa akalipata siku chache kabla ya mshindano hayo kuanza. Kombe la dunia kwa mara ya kwanza lilitengenezwa kwa makaratasi na kubadilishwa baada ya kuharibiwa na mvua kali iliyonyesha. Siku hizi kombe hilo linatengenezwa na zahabu yenye uzito upatao kilo 4.97.
8.Katika kombe la dunia mwaka 1950, timu ya Soka ya India ilitaka kucheza peku, shirikisho la soka ulimwenguni (FIFA) likagoma. Timu hiyo ikasusia mashindano hayo!
 
eeb4f503de57ce2291f90906779b344b.jpg
 
Back
Top Bottom