Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
T538
Ndo mana napenda kusema kabla hujakosoa uliza kwanza,mbona nilishawahi kutoa hints ya hii kitu sema nilishindwa kuendelea kutokana na safari niliyokua nayoHaya mkuu. Ndiyo maana sisi Waafrika hatuendelei. Mtu una maarifa lakini hutaki kushea na wengine. Una njia rahisi ya kufundishia calculus mtoto akaelewa kwa dakika tano lakini umekaa nayo tu unaongea kwa mafumbo. Ingekuwa mzungu angekuwa keshaandika kijitabu tayari, akapata vihela vyake na watu wakafaidika. Tuna maarifa mengi tena ya kila aina lakini kila mtu amekakawana nayo anachagua mjukuu mmoja anamrithisha au mambo yakibumburuka ghafla anaondoka na maarifa yake. Sad !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu wa pwani bhana ukiwasalimia salama. Utasikia salama kaolewa bado wewe
CANTSTOPWONSTOP