Gavana wa Florida ametangaza hali ya hatari baada ya kimbunga Hurricane Irma kuonekana kujiimarisha zaidi.
Irma kinaonekana kuelekea pande za Mashariki mwa visiwa vya Caribbean na kinatarajiwa kuingia Florida siku ya Jumatano.
Kinatarajiwa kupiga sehemu kadhaa za visiwa vya Caribbean vikiwemo Leewards, Haiti na kisiwa cha Marekani cha Puerto Rico, kabla ya kuelekea Florida.