ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Hahahaha
Hahahaha
GOODMORNING
Wazee wa Tanga
Goodmorng Gonja Bombo- Bethel
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Angalau hapa umekuwa mstaarabu kidogo. Zile akili zingine umeziacha kando kwa muda.
Amen[emoji120]Leo ni Tuesday iliyo njema, kila mtu ameianza vile Mungu imfaavyo, kuna wenye afya njema(tuseme ahsante Mungu) lakini wapo wagonjwa na wengine ni wenzetu humu humu, tuwaombee wakapate kutibika magonjwa yao. Mungu akatende juu yao, tuombeane maana tumekuwa familia moja. Amen [emoji120] [emoji120]
We jamaa kweli ni hodari[emoji3] [emoji3]Ahsante malkia, matarajio ya kuondoka huku jumatano yameshindikana, nitaondoka ijumaa.
Nadhani jumapili Mungu akipenda kuna mzigo nitauleta hapo Oyster,baada ya hapo naweza kuvamia impaya ya mzee wa liver. Ahsante kwa upendo
[emoji106] [emoji106] [emoji3] [emoji173] [emoji3] [emoji173]Mwanene,mwangaluka enseya goko.
Vyakula gani hivyo nsamakaUshetu bomba kbs, karibu chona,chambo,uyogo, dakama,igunda.
Majina ya kata za ushetu
Nini tena mkuu? Kuna sheria imevunjwa? Hapana,nina vibali vyote,sio safari y'all kushitukiza, ni zaidi ya mwezi umepita na madhara yangu yamechunguzwa na kupembuliwa kiyakinifu. Sina mawaa yoyote ndio maana nimealikwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]