eddy king
JF-Expert Member
- Apr 1, 2016
- 560
- 1,225
Achukue tu za saiz yakeMchina bhana anataka achukue likes zake hahaha
CANTSTOPWONSTOP
Mchina anamtishia Dr wake, na tezidume limemkalia pabaya[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] we mchina unamtisha dogo uniq
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu Carba anatishia ndoa yako.Yaan na Carba angekuwa na msimamo km huu. Ndoa yangu ingekuwa ya raha ya burudani.
Duu yani wewe unampa shida sana nsamakaHahahaha
Walahi
Uwiiiii (kwa sauti ya ISIS)
Hana msimamo huyuDuu Carba anatishia ndoa yako.
Shule mnafungua lini?Mchina anamtishia Dr wake, na tezidume limemkalia pabaya
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]D.A "Mwanaume mashine"
Morning Moudgulf. Karibu
DuuuuEti umesemaje???? Jtano niko na ww. Ntakuganda km rubi, umeanza kuvizia zizi la mzee wa liver eeeh?
Thanks a lot my dearestNakuombea kila siku my dear
Mwangaluka GokoMwanene,mwangaluka enseya goko.