Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2402b509a022b784d5fbbaf17fab7b8b

black and white twins
Amazing really
 
Ahsante malkia, matarajio ya kuondoka huku jumatano yameshindikana, nitaondoka ijumaa.
Nadhani jumapili Mungu akipenda kuna mzigo nitauleta hapo Oyster,baada ya hapo naweza kuvamia impaya ya mzee wa liver. Ahsante kwa upendo
Eti umesemaje???? Jtano niko na ww. Ntakuganda km rubi, umeanza kuvizia zizi la mzee wa liver eeeh?
 
Back
Top Bottom