Wamesha niharibia, nimejipima na jinsi walivyo tia shombo hawa vijana,nimeona niifute safari ya huko ili nisiinajisi impaya yenuVijana wanataka kuzuia furusa ya wewe kufika masaki [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] karibu kwa moyo mmoja
Wana haki kupinga hiloUkawa wametoka nje
Hawakubaliani na Spika kuwaapisha wabunge wapya wa kuteuliwa wa Lipumba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Atiiiiii nini?! in syb voice
41