myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
11:44
Vijana wanataka kuzuia furusa ya wewe kufika masaki [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] karibu kwa moyo mmoja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amini amini nakuambia, ya kale yamepita, nimesha kuwa mpya sasa
Kweli wanakosea sana masikini nsamaka umetoka nae mbaliNaona ndugu yangu, mapenzi nimeshayavulia shati,acha tu nibaki kupenda hela.
Naona vijana watatu wamevamia zizi kwa mkupuo, watanitengua kiuno hawa, wamejaa ufedhuri na kibri. Umri wangu huu wakunitendea dhurumati kweli?
Kazee kama akili nyingi
XIVKumi na nne
786Saba nane sita
31XXXI
32XXXII
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijasema chochote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
CANTSTOPWONSTOP
Unakaribiamchana huo