Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huku powa Tu. Wasalimie Masaki samahani Tukuyu

CANTSTOPWONSTOP
Duhh!!mawe yameisha anza kuniangukia sasa.

TANGAZO TANGAZO TANGAZO

Nasikitika kuwatangazia kuwa,ile safari ya kwenda Peninsula imefutwa rasmi baada ya kugundulika kuwa nilie kuwa nawasiliana nae sio ISIS wa kichaga bali ni isis wa herufi ndogo (mchina).Samahani kwa usumbufu na mbwembwe nilizokuwa nazo,kwani ziliwaumiza wengi.
Nisamehe kwa usumbufu ISIS,ila isis wa herufi ndogo tutapambana.
 
Back
Top Bottom