mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AMINA[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Leo ni Tuesday iliyo njema, kila mtu ameianza vile Mungu imfaavyo, kuna wenye afya njema(tuseme ahsante Mungu) lakini wapo wagonjwa na wengine ni wenzetu humu humu, tuwaombee wakapate kutibika magonjwa yao. Mungu akatende juu yao, tuombeane maana tumekuwa familia moja. Amen [emoji120] [emoji120]