ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
AMUN RAAMUN RA
AMUN RAAMUN RA
HahahahahaNini tena mkuu? Kuna sheria imevunjwa? Hapana,nina vibali vyote,sio safari y'all kushitukiza, ni zaidi ya mwezi umepita na madhara yangu yamechunguzwa na kupembuliwa kiyakinifu. Sina mawaa yoyote ndio maana nimealikwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
8Nane
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ye muache tu, yakimkuta asije hapa analia lia. Anacheza nyani ngoja avune mabua.
Bp sio AgipKaka sio kwa uwazi huo, utauwa watu kwa BP