Zile hashua za mbuzi, daaa!! nimezimiss sana, na yule mzee wa enzi zile amefarki, kwa sasa yupo mwanawe anasukuma jahazi paleHaswaa... Nina hamu na hashua za pale Sokota.Tusiyasahau yale maisha maana ndio yaliyo tukuza mpaka tumepata wake
Siasa yaleta mifarakano mkuuWana haki kupinga hilo