Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahaha wapo bana sema tu wamejificha kwenye kaushamba flan hivi kakumtega baba mwenye nyumbaHakuna hausi gero ngangari, mwelewa wa mambo na mwenye viukorofi korofi hivi. Hakuna !!!
Hahaha wapo bana sema tu wamejificha kwenye kaushamba flan hivi kakumtega baba mwenye nyumbaHakuna hausi gero ngangari, mwelewa wa mambo na mwenye viukorofi korofi hivi. Hakuna !!!
Too pessimistic !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo tunataka tujue hivyo(ila sijui ni mtoa mada au wachangiaji)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha ntafunguka balaa hasa kwa kazi ya uhausgal niliyonayo na elimu ya darasa la nne b
Hahahaa tena uje kwa style ya zawadi za vocha yaan ukishamaliza mahojiano zawadi vocha weuwee hadi nsamaka atakua shost ako wa karibu mnoAcha na mimi nianze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena naanza na wewe lol
Tena ndo nataka hizo mbinu za kumtega baba mwenye nyumba nataka niombe kazi ya uhausigelo kwa nsamaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha wapo bana sema tu wamejificha kwenye kaushamba flan hivi kakumtega baba mwenye nyumba
Kweli kabisa,mengine yanaacha makovu makubwaLakini baadaye hayo yanapita na kubaki historia, na. maisha yanasonga
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakuunga bando la mwezi kabisa usijaliHahahaa tena uje kwa style ya zawadi za vocha yaan ukishamaliza mahojiano zawadi vocha weuwee hadi nsamaka atakua shost ako wa karibu mno
Asante sana mkuu. I am humbled you know. Kula likes mkuu....Heshima kwako leo nimezidi kuthibitisha kama upo vizuri sana katika kujengea hoja jambo lolote lile
Hahaha kama una kamsabwax kafiche utakaonyesha ukishapata kazi rasmiTena ndo nataka hizo mbinu za kumtega baba mwenye nyumba nataka niombe kazi ya uhausigelo kwa nsamaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]