Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kifo ni fumbo isingekua fumbo tungeshajua zamaan binadam akifa huwa anaenda wap,na je muda tunapoomboleza anakuwa karibu yetu au anakuwa keshaondoka.
Siamin wanasayans kabisaaa hawana utabiri wa kweli bali kubahatisha
Nimekuelewa bageshi !!!