babe S
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 3,879
- 20,859
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Pole kwa mafua uniq sio kwa kuchapia huku
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Pole kwa mafua uniq sio kwa kuchapia huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Mke umemaliza kupika ??Afadhali umekuja...karibu
Nilikwambia since day1 hukutaka kuaminihahahahaha😉😉😉
kumbe carba alikua sahihi
Oooh we subiri ila najua ipo siku utaja kuniuliza hapa huu uvumilivu wa kuishi muda wote na andjul nimeutoa wapi?Ungekuwa unajiamini usingekuwa hivyo wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo usikujioni ndio inanukia hivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
teh teh tehUnajipa moyo eeeh? Basi km ulikuwa hujui hii vita umeianza upya.
Nimekuuliza weweHahahhaha unataka majibu???? Subiri aje mwenyewe akujibu.
Pepa kesho ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imekula kwake
My Queen anaelewa
Akuache tu[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahha jamani, kumbe nae anapiga paper kesho. Namtakia kila la kheri
Yaan huyu mwanamke huwa jeuri sana, bwana anichukulie na vijembe anipige.Nsamaka umemsikia Carba ??
Karibu ule ....Pika kwanza mama ndio natoka Mkwabi nakuja
Nidokezee na mimi...My Queen anaelewa