Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanasimulia namna ambavyo wamekuwa wakisafiri kwa shida na wakati mwingine kujikuta wakifungwa pingu kwenye vyuma vya magari yao na askari wa usalama barabarani katika nchi jirani.

Yusuph Mrutu ni mkazi wa Mbezi, Barabara ya Morogoro, ndiye anayefungua mfululizo huu wa simulizi za madereva wa malori na visa wanavyokutana navyo.
Duh. Hatari sana hiyo
 
Maeneo hatari kwa wizi

Anasema sehemu inayoongoza kwa madereva wa malori kuibiwa ni katika Mlima Senjele uliopo Mbozi, mkoani Mbeya. Eneo hilo kuna vibaka wengi kiasi kwamba malori hayawezi kupita hapo kuanzia saa 12:00 jioni.

“Saa 11:00 ikikukuta upo mjini bado haujapita pale, basi inabidi ulale Mbeya, ile sehemu ni hatari hata Serikali inajua.
 
Kwa sababu ule mlima ni mkali, wezi wanaweza kuvunja huko nyuma na kuchukua mizigo huku gari linatembea. Kama unaendesha lori linalovuta trela wanaweza kukata pipe (mpira) ili gari lisimame.

Anasimulia namna ambavyo wakati fulani alikutana na dereva mwenzake akikimbia kwa miguu barabarani baada ya kuvamiwa na wezi katika eneo la Mdaula, mkoani Morogoro.
 
Yule dereva alivyoona gari lao limesimama waliteremka wameshika panga na kirungu kuangalia nini kilikuwa kinaendelea, lakini ghafla lilitokea kundi la watu kutoka porini likiwa na silaha na kuanza kuwashambulia.
 
Yule dereva alivyoona gari lao limesimama waliteremka wameshika panga na kirungu kuangalia nini kilikuwa kinaendelea, lakini ghafla lilitokea kundi la watu kutoka porini likiwa na silaha na kuanza kuwashambulia.
 
Kwa kujiokoa ilibidi waliache gari na kuanza kukimbia wakirudi walikotoka. Tuliwachukua tukaenda nao hadi lilipokuwa gari lao, lakini hatukumkuta mtu yeyote, nadhani watakuwa waliiba vitu vingi ndani ya gari,” anasema.
 
Back
Top Bottom