Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Iringa inaongoza kwa vituo vya polisi. Unaweza ukasimama hadi miguu inauma kwa kushikilia breki. Yaani ukishamaliza kupanda mlima Kitonga unaanza kuingia Ilula utaanza nao hadi unafika Makambako,” anasema na kuongeza:
“Hapo bado gari halijakuharibika, haujakutana na mtu akakwambia sijui gari yako ikoje. Kwa kawaida gari linakwenda nje huwa inakuwa imekamilika vibali, lakini hata kama gari ni mpya hawakosi sababu.
“Hapo bado gari halijakuharibika, haujakutana na mtu akakwambia sijui gari yako ikoje. Kwa kawaida gari linakwenda nje huwa inakuwa imekamilika vibali, lakini hata kama gari ni mpya hawakosi sababu.