Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
S244
Haaaaaaaa nimekuja sasa nimeambiwa unatusemaUniq +babe S=mtihani wa kesho. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] komaeni kwa maisha yenu ya baadae
Carba ndio maana Nsamaka anakutafuta kila kona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe jamaa ukimya wote anapiga msuli wa pepa la kesho
Hahaa
Walah!
Andjul mzee wa misambwanda na bamia[emoji124] [emoji124] [emoji124] Kuna jamaa asubuhi alimtakia mtihani mwema wakusoma wako kesho. Komenti ipo huko nyuma muitafute kwa manufaa yenu...
Pongezi kwa wote wanaokeshaWako wanaolala na wakeshaji..tunaaga wa mapema