carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nsamaka hajiamin[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Undugu gani huo mpaka Nsamaka alalamike
Nsamaka hajiamin[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Undugu gani huo mpaka Nsamaka alalamike
Waulize wenyeweKaka wapi? Huo ukaka umeanza lini?
Hapo pabaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena ndo nataka hizo mbinu za kumtega baba mwenye nyumba nataka niombe kazi ya uhausigelo kwa nsamaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakuunga bando la mwezi kabisa usijali
Napenda hii[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]kuna watu tembele wanaiona kama mboga duni saaana
Wanakosa uhondo kwa kweli..
Ukishachambua vizuri
- Osha tembele lako...wengine wanalianika juani... mie huwa naenda nalo moja kwa moja tu bila kuanika
- Tia sufuria motoni
- weka mafuta ya kutosha...linataka mafuta hili mwenzangu la sivyo utalichukia
ukalalamike matembele so mazuri kumbe upishi wako duni!
- tia kitunguu chakoView attachment 582178 View attachment 582178
Kwa vile umemuweka ndani kiwizicarba mtaratibu kabisa hana tatizo lolote😎😎
HahahahaLeo uzi upo mahali pake
Weeeewe hebu niache[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulimwambia wapi? Na wakati ww hii chance ndio ulikuwa unaitaka