Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna kimbunga huku kinaitwa Irma. Ni kimbunga (hurricane) kikali zaidi kuwahi kutokea katika baari ya Atlantic na inavyoonekana kitapita hapa nilipo. Ni heka heka watu wananunua maji na vyakula vya makopo. Tayari petroli imeanza kuadimika. Mimi nadhani nitasepa na kukikimbia. Namtafuta andaeitini nikimbilie kwake lakini simpati
Ati, Koromije na hurricane wapi na wapi?
 
jifiche mkuu,,bado tunakuhitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…