Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kama ni hivyo, mbona unaongoza kwa kutimuliwa bungeni?Kupeleka muswada bungeni ili ujadiliwe ni kuvunja sheria?
Muheshimiwa hulitakii jema Bunge na wananchi kwa ujumla.
Tunasimamia kile tunachokiamini. Ndo maana kwenye Halmashauri zote ambazo Mbunge ni mpinzani hakuna Hati chafuKama ni hivyo, mbona unaongoza kwa kutimuliwa bungeni?
Mkuu fuata kanuni za kunguru. Hatutaki kupata update kutoka kwako.Kuna kimbunga huku kinaitwa Irma. Ni kimbunga (hurricane) kikali zaidi kuwahi kutokea katika baari ya Atlantic na inavyoonekana kitapita hapa nilipo. Ni heka heka watu wananunua maji na vyakula vya makopo. Tayari petroli imeanza kuadimika. Mimi nadhani nitasepa na kukikimbia. Namtafuta andaeitini nikimbilie kwake lakini simpati
Ati, Koromije na hurricane wapi na wapi?
WWE