Nipo poa japo nilikuwa busy siku nzima. Ndio nimeandaliwa maji yaliyoungwa na Msukuma wangu niende kuoga.sana tu
sijui wewe
Kwema Bob ajecarba kwema?
Kwa wanao kupendaHahahahaha
Amri mpya nawapa MPENDANE
Aisee watoto nyie ni tabu kweliHahahahha ole wako, leo ntakupasua kichwa.
Najua Andjul hana lake muache aendelee kuuza mboga mbonga na kushangaa misambwanda sokoni mwanjelwahahahaha
Yaani wewe?daah!sawa bhana[emoji17][emoji17][emoji17][emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Yaani siku hizi unachokifanya,sitaki kuamini kwakweli[emoji22][emoji22]Sijaamini mpaka sasa [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
AMUN RAAMUN RA
Uuuuuwiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]me siwezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani hata kujaribu siweziHahahahaha
Amri mpya nawapa MPENDANE
Mkuu niaje[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] !!!
HahahahaAisee watoto nyie ni tabu kweli
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23]Yuko kwenye paper
AMUN RAAMUN RA