mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hakuna Kazi just matter of time watakuwa pamoja [emoji4] [emoji4] [emoji4]Aisee!!! Kazi unayo
Mkuu mara kwa mara nimekuwa nikiongea na shemeji yangu babe S, kwa kweli haishi kukutaja. Sema tu jamaa yule mjasiria mali wa kuku yule hafai...
HahahahahaKila ukimtaja babe s natabasamu,
Hapo ndo naona umhimu wako Kichwa.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Safi, mambo vipi.habari za hapo ushetuNawasalim wote.
Nawamis sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]KK nijibu swali langu basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mitihani umemaliza
Mbaya wangu wa enzi na enzi[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulisahau eeh
LikesUzi wa kupeana likes
Wuuuuuui wallahi....ISIS na ho chi minh watakwenda safari kuangalia na kufungua fursa kwa vijana kusini mwa Tanzania.
Taarifa hii amenipa ho chi minh sijajua agenda zaidi
Nimeona tu furaha yako nikajua huyu dogo katoloka poliniKukaa porini raha ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sasa niko mjini nashangaa maghorofa
Samahani katibu lolNaomba majimama yapewe heshima inayostahili please [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]