Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WI-FI” ZA BURE NA HATARI KUBWA INAYO IZUNGUKA

Ili kuwezesha upatikanai rahisi wa huduma za mtandao – Mahoteli, Viwanja vya ndege na maeneo mengine ya mkusanyiko wa watu kumekua na huduma ya Mitandao inatolewa kupitia teknolojia ya “Hotspot – Wi-Fi” ambapo imeendelea kua na umaarufu mkubwa hivi sasa.
 
Kama ilivyo katika maeneo mengine ya Hili nalo limekua na upande wa pili ambapo kumeibuka wimbi la wahalifu mtandao wanaotumia udhaifu uliyoko kwenye huduma hizi za bure za “Wi-Fi – Hot spot” kudukua na kuleta madhara kwenye mtandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…