Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wahalifu mtandao wamekua wakiweka “Wi-Fi” za bure ambazo si sahihi “Fake” ambapo wanategemea watu wengi watazitumia na baadae kukusanya taarifa zao na kufatilia vinavyosambazwa kwenye mtandao na baadae kupelekea kufanikisha uhalifu mtandao.
 
Kampuni ya usalama mtandao ya “Avast” hivi karibuni imefanya jaribio la kuangazia uelewa wa watu juu ya huduma hizi za bure za kujipatia mtandao “Free Wi-Fi” ambapo kampuni hiyo iliweka idadi kadhaa ya “Fake Free (Hot spot) Wi-Fi” kwenye mkutano wa Kisiasa nchini Marekani “Republican National Convention”.
 
Takwimu zlizo kusanywa na Kampuni hiyo zinasema watu zaidi ya 1200, Walitumia huduma hiyo iliyokua imewekwa kwa mtego na asilimia 68.3 walitoa taarifa zao binafsi. Huku ikielezwa mashindano ya Olympik hili pia linategemewa kujitokeza.
 
Aidha, Takwimu za jaribio hili ziliendelea kueleza – aribio lilifanikiwa kufahamu Asilimia 38.7 walitumia Facebook; asilimia 13.1 walitumia Yahoo Mail, asilimia 17.6 waliperuzi barua pepe zao kupitia Gmail, na Asilimia 13.8 walitumia programu zyingine za kuwasiliana kama vile WhatsApp, WeChat pamoa na Skype.
 
Kiuhalisia kama zoezi hili lingekua limefanywa na wahalifu mtandao, Hakika wangefanikiwa kudukua kila kinachopatikana kwenye mifumo ya washiriki kaika mkutano huo ambapo jaribio hili lilifanywa. Na hii ni hatari zaidi hasa pale unapo tumia kifaa cha ofisi kilichokusanya taarifa muhimu/za siri ambazo hazikutakiwa kuangukia kwenye mikono ya asiye husika.
 
Kiuhalisia kama zoezi hili lingekua limefanywa na wahalifu mtandao, Hakika wangefanikiwa kudukua kila kinachopatikana kwenye mifumo ya washiriki kaika mkutano huo ambapo jaribio hili lilifanywa. Na hii ni hatari zaidi hasa pale unapo tumia kifaa cha ofisi kilichokusanya taarifa muhimu/za siri ambazo hazikutakiwa kuangukia kwenye mikono ya asiye husika.
 
NOTE: “users should never insert CDs, disks or thumb drives they found into their devices. Hackers drop these items at public places specifically to get unsuspecting individuals to plug them into their devices in order to infect them."
 
Naomba majimama yapewe heshima inayostahili please [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa. Nawe tatizo sijui umeweka kengele ya haya mambo yetu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeanza kuondoka mkuu? Nimeona hali ni tete sana, maji,vyakula,gas...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…