Fabio Kapello ni Kocha mzuri, lakini si Kocha bora kabisa. Kuna Kocha anaitwa Vittorio Pozzo, ulishamsikia? Huyu aliongoza Italia kuchukua kombe la dunia, FIFA World Cup mara mbili mfululizo 1934 na 1938.Kocha bora kabisa ITALY
Wana pembe au mikia??
Upo wewe[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]Wana pembe au mikia??
Habari ya ndugu uniq, masomo yanaendeleaje huko TangaKaribu tena
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Fresh sana hunter.
Japo ulipopotea ndio huyo mtoto akaungua na moto maana umerudi katoto ka avatar kana kovu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ilibidi niende hata kule kutuliza popo wangu wa humu kichwani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maana walikuwa wamechafuka. [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha
Mate ya wapi fafanuaThatha mimi thijui jamani mate yanaongezeka kwa wingi[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesitisha safarimzee wa liver si anataarifa zaidi basi hamna tatizo.
Safari njema mzee mwenzangu
HahahaMpenzi ISIS elewndndhdfkab...
Nooo...hapana!
Nilisahau kwa kudhani mie ni mzee wa liver.
Hapana sipendi nifanye makosa hayo tena!
Mzee wa liver nilitaka kujikwaa sirudii kosa mkuu wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona wataka kutekwa wewe