Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naona hakuna mtu hapa.....
Ni mida ya wanga tayari?
[emoji15] [emoji15] Naona umetukimbia kule
Nakuja but leo inabidi nilale[emoji15] [emoji15] Naona umetukimbia kule
Karibu tumekumiss san
Kwann uko peke yako?Niko peke yangu hapa...and I can do anything I want....
Hujambo mrembo, daa ulipotea jukwwani hapa!!Kwann uko peke yako?
Yegomasika, sema mkuuBado kidogo, ukifika mda utatuona sisi wanga wazoefu tunaingia mdogo mdogo!
Tupo pamojaNiko peke yangu hapa...and I can do anything I want....
Sijambo za ww! Nipo napitaga tu kuwapa hi watu wenye upendo wa kweli
Nyie watu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Umemsahau na KK akiwa anasubiria fursa[emoji23][emoji23]