moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hakuna mbagala kuu maji matitu. Kuna mbagala maji matitu na Kuna mbagala kuu-kijichi na vitongoji vyakeMkuu juzi Kati hapo,nilienda Mbagala kuu maji matitu kwa shemeji yako usiku,nimeanza kupotea mtoni kijichi, hadi saa sita nilikuwa bado sijaipata location.
Aisee kumebadilika sana...
Sent using Jamii Forums mobile app