mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Good morning GEITA
Acha tu yetu machoHii makinikia haijawahi kumwacha mtu salama [emoji38] [emoji38]
Hahahahaha akutane na majanga yake
Hahahahahahahah! mkuu punguza wasiwasi
wewe pia ulisema hutaweza kuniombea msamaha, nimeona sio ishu ngoja nijitose kwa muusika mwenyewe
BTW: protocol zitazingatiwa
Yaani kuna kipindi unasoma post za watu unacheka mpka basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani huu uzi dah! Hapa nacheka tu mpaka watu wananishangaa dah !!!
Pozzo yap lakini bado kwa suala la ukocha bado capello ana mafanikio kwenye National level na club level kote makombe kibaoFabio Kapello ni Kocha mzuri, lakini si Kocha bora kabisa. Kuna Kocha anaitwa Vittorio Pozzo, ulishamsikia? Huyu aliongoza Italia kuchukua kombe la dunia, FIFA World Cup mara mbili mfululizo 1934 na 1938.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tupo
HahahahahaWana pembe au mikia??
Kama aina madhara ni hongera tu
Western wamefanya chokochoko sana kufanyika kwa haya mashindano Russia
Alikuwa anatafuta njia ya kutoka kama wanamuziki
Wahenga sasa