Uzi mkali huu naona wapenzi wa likes wanaongezeka kula kukicha, karibuni
Hapa huhitaji kuomba wewe andika chochote.
Karibu sana
Wauliza makofi kituoni?
Bint ubaguzi unauletaUnaweza ukalike tu kwa kuangalia Avatar
Hahaha, Mkuu jibu swali kumradhi.
Kwamb jamaa kamlisha maneno mzee wa magogoni?
Wengine wanapenda tu. Wewe unakwenda kumcheza mtoto ngoma unategemea nini?
duuhUnaweza ukalike tu kwa kuangalia Avatar