Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiwa na ID mbili hata uwe mwangalifu namna gani kuna siku utachanganya madesa tu hata ufanyeje. Hata huko IG watu wanaumbuka kila leo.

Ni afadhali tu uwe na ID moja na siku ukitaka kuniongelesha mwenyewe unaanzisha uzi kama ule wa Kisonde unajiintavyuu na kujijibu mwenyewe laivu mambo kwisha.
Shemeji hizi multiple id ni shida kwakweli
 
Back
Top Bottom