Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Shemeji hizi multiple id ni shida kwakweliUkiwa na ID mbili hata uwe mwangalifu namna gani kuna siku utachanganya madesa tu hata ufanyeje. Hata huko IG watu wanaumbuka kila leo.
Ni afadhali tu uwe na ID moja na siku ukitaka kuniongelesha mwenyewe unaanzisha uzi kama ule wa Kisonde unajiintavyuu na kujijibu mwenyewe laivu mambo kwisha.
Kwema shemejiKwema shemeji?
Nani huyo?
Nipo shemeji. Jisikie huru...Kwema shemeji
Natamani nikutafute
Niliona uzi wa tetesi ila haikuchukua hata sekunde mods wakafanya yaoTundu lissu