Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mh Tundu Lisu Mwenyezi Mungu akuponye haraka ili uendelee na harakati zako za kuwapigania Watanzania kwa njia uliyochagua. Tumeumizwa na tukio hili. kwa hakika kama hili ni tukio la kisiasa basi tuseme tunakoelekea kuna giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…