Mimi nawapenda wanasiasa wote bila kujali itikadi. Kwakweli nawapenda kwakuwa wanasiasa wote wana lengo moja tu Kuwatumikia watanzania na uwepo wao ni wa kikatiba.Lissu ni binadamu mwenzetu siasa pemben tumuombee
Mimi nawapenda wanasiasa wote bila kujali itikadi. Kwakweli nawapenda kwakuwa wanasiasa wote wana lengo moja tu Kuwatumikia watanzania na uwepo wao ni wa kikatiba.
Sent using Jamii Forums mobile app