Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usimchokoze Mzee Rutta. Anaweza kuzimwaga namba hata page 6 non stop utafikiri yeye hana ile "You must wait for at least 3 seconds before posting". Watu wataziruka kuzipa likes lakini baada ya masaa mawili matatu unazikuta zote zimeshiba likes za kutosha. Sijawahi kuona popote mtandaoni uzi wenye raha kama huu. Hongera Jembekillo popote ulipo !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cheka sanaaaa, lakini huzuni tele moyoni. Namba, Nambari, Za kirumi,.za Kiarabu. Namba hat za kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_3077.JPG
Uhai ni kiti cha thamani
 
Licha ya kutumia jusi halisi kama kinywaji tu, juisi pia hutoa kinga na tiba kwa maradhi mbalimbali. Iwapo mtu atatengeneza mchanganyiko maalum wa matunda na kutayarisha juisi maalum na kuinywa, anaweza kupata kinga na tiba ya matatizo mbalimbali ya kiafya kama ilivyoanishwa hapa chini:
 
Back
Top Bottom