Hata wewe unazisoma!??Kwakweli hizi zama hazina ubaguzi katika kuzisoma.
Jambo la msingi sana hilo mkuu.Mi simo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] "kunguru muonga alikimbiza mbawa zake"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna kuku wa kienyeji, mabata mzinga na bata bukini.mkiwa tayari mnijurisheNa wewe mkuu unapenda ubuyu?
Halafu ishu ya kumuoa Nsamaka iliishia wapi? Tunawataka hao kuku ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Nyani mkinda, tumkindule"