Kura hiyo haikuwa kwa kauli moja na klabu bado zitaweza kuendelea kuuza wachezaji hadi mwisho wa dirisha la kawaida la kuhama wachezaji.
Dirisha la kuhama wachezaji kote Ulaya huendelea kuwa wazi hadi tarehe 31 Agosti.
Hatua ya klabu hiyo za Ligi ya Premia ina maana kwamba ingawa klabu zitaweza kuendelea kuuza wachezaji hadi siku hiyo, ununuzi utafikia kikomo tarehe 9 Agosti msimu wa 2018-19.
Klabu za ligi nyingine za Ulaya bado zitaweza kununua na kuuza wachezaji hadi 31 Agosti.
Uhamisho wa wachezaji katika ligi nyingine ndogo za England na Wales ((Championship, League One na League Two) hautaathiriwa.
Sio ndogo lakini
Mkuu habariKichwa kichafu
ho chi minh mzee hujasafiri tuNimesitisha safari
Good riddance kama kweli ndiye
Mungu atusaidie safari iwe salama duniani.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]