10. Jizuie kunywa unapokuwa na hisia hasi, mfano Hasira, msongo wa mawazo, mfadhaiko nk. Pombe haipunguzi mawazo, inaweza kupelekea ufanye jambo baya zaidi. Kunywa pombe unapokuwa na furaha. Asante
Endelea kufanya analysis. Ukifikia konklusheni usisahau kuleta mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa... Mchanganyiko wa mabandiko yake anayobandika hapa yananipa homework kidogo kumu identify huyu mtu! [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe na yeye dume
Mungu amfanyie wepesi kwakweliTumuombee....
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger Ijumaa alisema wachezaji wanahitaji "uwazi" kuhusu hali yao.
Meneja wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson pia alisema soko linafaa kufungwa mapema alipoulizwa kuhusu juhudi za Barcelona kumtaka nyota wa Liverpool Philippe Coutinho.
Hali kwamba soko litafungwa mapema ina maana kwamba klabu zitatakiwa kuharakisha kuwanunua wachezaji baada ya Kombe la Dunia la 2018
Msimu wa 2018-19 utaanza baada ya Kombe la Dunia ambalo litafikia kikomo tarehe 15 Julai nchini Urusi.
Alexis Sanchez hatatizika kurejea kucheza vyema katika Arsenal baada ya kutoridhika wakati wa kipindi cha kuhama wachezaji kilichomalizika wiki iliyopita, meneja wa klabu hiyo Arsene Wenger amesema.
Sanchez, 28, alikaribia sana kuhamia Manchester City dakika za mwisho, lakini Wenger amesema "hana shaka kuhusu fikira na msimamo wa Alexis".
bwana mdogo atakuwa ICU tena SA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku hiyo nitafanya vurugu mpaka nile ban ya maisha. Cole sasa sijui atakuwa na hali gani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha sishuki mpaka mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe na yeye dume
Jf simama nishukeeee nimechoka mweee!
Huyu naye ni nani? Mbona hivi lakini? Inaonekana kuna mabinti wachache sana hapa JF. Si ajabu wanaume tunatongozana wenyewe kwa wenyewe tu hapa. Kazi ipoooo !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe na yeye dume
Jf simama nishukeeee nimechoka mweee!