carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Yegooo[emoji137][emoji137][emoji3][emoji3][emoji3][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe na yeye dume
Jf simama nishukeeee nimechoka mweee!
Sijakuelewa bado😎😎Ulichofikiria ni juu yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Viv hajambo
Huyu si kaweka mpaka na picha ikanifanya mpaka nikamsumbua Mr. Cheaman wangu? Watu hawa ni wagonjwa wa akili na wanahitaji attention sana. Hawajahi kupendwa maishani mwao na si ajabu utotoni wamekula fimbo za kutosha na kufokewa na wazazi wao. Zero confidence. I inferiority complex na ishuzi kama hizo. Wenye watoto kuweni makini na malezi ya wanenu jamani !!!Anaitwa richaabra sijui anatumia ID hiyo kumbe na yeye dume kama bosslady[emoji23][emoji23][emoji23]
Amen!Mwovu unaswa kwa uovu wake mwenyewe [emoji1317][emoji1317]
Mmh jaman hata kama ndo ujifanye mwanamke??Watu wako kwa job humu! Wana collect info kwa namna yoyote ile! Ndio hapo ukijifanya rijali sana ndio kama hivyo! Mwanaume anakulegezea sauti ya maandishi unaingia kingi, unamwaga midata yako yote! [emoji3][emoji3]
Jamani Bob sijakataa kumtibu bhanaSijakuelewa bado😎😎
Unauliza veeeepeee kuhusu viv wakati umekataa kumtibu😉😉
ugomvi huu sasa😎😎
Lakini kama ni raia mwema sivunji sheria za nchi sina haja ya kuwa na wasiwasi. Cha muhimu ni kuwa mwangalifu sana na haya mambo. It's official, mi sitongozi tena mwanamke wa mtandaoni kamwe. Actually, nilishajifunza hili long time ago !!!Watu wako kwa job humu! Wana collect info kwa namna yoyote ile! Ndio hapo ukijifanya rijali sana ndio kama hivyo! Mwanaume anakulegezea sauti ya maandishi unaingia kingi, unamwaga midata yako yote! [emoji3][emoji3]
Mmh jaman hata kama ndo ujifanye mwanamke??
[emoji23][emoji23][emoji23]unatupia nondo kumbe dume linakuchora tu dadeq
Wow!!Jamani Bob sijakataa kumtibu bhana