Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kumbe hadi cheaman alienda kule?Huyu si kaweka mpaka na picha ikanifanya mpaka nikamsumbua Mr. Cheaman wangu? Watu hawa ni wagonjwa wa akili na wanahitaji attention sana. Hawajahi kupendwa maishani mwao na si ajabu utotoni wamekula fimbo za kutosha na kufokewa na wazazi wao. Zero confidence. I inferiority complex na ishuzi kama hizo. Wenye watoto kuweni makini na malezi ya wanenu jamani !!!
Si mchezoHuyu si kaweka mpaka na picha ikanifanya mpaka nikamsumbua Mr. Cheaman wangu? Watu hawa ni wagonjwa wa akili na wanahitaji attention sana. Hawajahi kupendwa maishani mwao na si ajabu utotoni wamekula fimbo za kutosha na kufokewa na wazazi wao. Zero confidence. I inferiority complex na ishuzi kama hizo. Wenye watoto kuweni makini na malezi ya wanenu jamani !!!
[emoji122][emoji122][emoji122]hivi vitu vya mitandaoni vinahitaji busara za hali ya juu na macho ya kirohoLakini kama ni raia mwema sivunji sheria za nchi sina haja ya kuwa na wasiwasi. Cha muhimu ni kuwa mwangalifu sana na haya mambo. It's official, mi sitongozi tena mwanamke wa mtandaoni kamwe. Actually, nilishajifunza hili long time ago !!!
Sijui na mimi nijaribu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wale wanaojifanya wanawake kwa shughuli maalumu. Hao wengine sijui ni kwa sababu gani kwa kweli!
Vipi tena?Wow!!
Ben Saanane ndo hivyo. Mauzauza tupu !!!Nimemiss zile makala za Ben sa8
Teh teh tehugomvi huu sasa😎😎
subiri nile pushapu kwanza
Sijui na mimi nijaribu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Enhee[emoji101] [emoji101]Mi nilitaka nijaribu ujue! [emoji3][emoji3][emoji3]
DahBen Saanane ndo hivyo. Mauzauza tupu !!!
Mwenyekiti hakwenda ndo maana nilimuwekea hapa. Actually leo sijamuona hapa.Kumbe hadi cheaman alienda kule?
Huyo jamaa alituma picha mbili tena ni tofauti watu wakashtuka mapema akaanza kutoa povu
Ila bado sijajua lengo hasa la watu kama hawa ni nini,sijui ni zile tabia za ki kameruni au kuna kingine
pushapu nyingi sana hapa nakula huku nikisindikiza na milongeTeh teh teh
nimefurahi tuVipi tena?